Header Ads

Kidoa, Giggy pachimbika...kila mmoja akijiona yupo juu kuliko mwenzake!

PAMECHIMBIKA! Habari ikufi kie kwamba bifu jipya mjini kwa sasa ni kati ya wauza nyago (video queens) wawili kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford Giggy Money’ na Asha Salumu ‘Kidoa’ kila mmoja akijiona yupo juu kuliko mwenzake.
891kizungumza na Ijumaa Wikienda kupitia Global TV Online, Giggy alidai kuwa yeye ni mkali na habebwi kama ilivyo kwa Kidoa hivyo siyo levo yake.
Alipotafutwa Kidoa hakupatikana kujibu mapigo ya Giggy ambaye amekuwa akimchana Kidoa mara kadhaa.