• Latest News

  March 26, 2016

  AI ULISHANGAA ILE YA STARS, ALGERIA YARUDIA TENA, YAITWANGA ETHIOPIA 7-1

  Algeria imeonyesha in uwezo wakushinda kwa kishindo baada ya kuichapa Ethiopia kwa mabao 7-1 katika mechi ya kuwania kufuzu kucheza Afcon.

  Ikiongozwa na Riyad Mahrez, Algeria iliizidi kila kitu Ethiopia iliyokuwa ugenini na kuibuka na ushindi huo wa mabao 7-1.

  Kama unakumbuka, Algeria iliwahi kutoa kipigo kikali cha mabao saba kwa Taifa Stars.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: AI ULISHANGAA ILE YA STARS, ALGERIA YARUDIA TENA, YAITWANGA ETHIOPIA 7-1 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top