Header Ads

Amini - Hawajui Official Video

Kwa harakaharaka ni zaidi ya miezi kumi na mbili imepita toka mara ya mwisho nimetazama video mpya ambayo Amini yuko ndani, ni mwimbaji mwenye miaka yake kadhaa kwenye game ya bongofleva na sasa katuletea hii mpya, ukishamaliza kuitazama usisahau kumuandikia ajue watu wake wameipokeaje.

Official Video ya Msanii AMINI. wimbo unaitwa HAWAJUI na audio imetengenezwa na EMA THE BOY. Video imefanywa na KWETU STUDIOS, Directed by Msafiri Shabani.

No comments