Header Ads

Baada ya Mtangazaji Zamaradi Kuweka Wazi Penzi lake Kwa Ruge...Mange Kimambi Atoa Neno

Mtangazaji Zamaradi Siku tatu zilizopita aliamua kutoa ya moyoni na kuweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na boss wake Ruge Baada ya kupost picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya "You are mine, Am yours and Thats enough..MY LOVE!!"  

Picha hiyo mpaka sasa kwenye ukurasa wa Zamaradi ina Comments zaidi ya 2200 kutoka kwa watu mbali mbali....
Blogger Maarufu Mange Kimambi naye Ametoa ya moyoni kuhusu uhusiano huo na kuandika yafuatayo:


Mangekimambi_
"I love Zama so much, she is so sweet but inabidi tuwe wakweli. Kwa ustaa wake angekuwa Marekani angesimangwa na wanawake kama alivyosimangwa Karrueche Mpaka sasa kajua kujidhamini na hajarudi kwa Chris Brown. .
nilimuona Karueche kwenye show ya Iyanhla akasema, 'I know he loves me', Iyanhla akaamuliza What makes you think he loves u? Mwanaume Kila siku anakukosea heshima tena bila uwoga Mara akuache arudi Kwa Rihanna, Mpaka kazaa Na mwanamke mwingine wakati ukiwa nae still unasema he loves you? What's your definition of love? Karrueche alikaa kimya akakoka cha kujibu Na manager wake akaja kukatisha interview. My point is, we as women need to respect ourselves , we need to hold men accountable for the way they treat us.Wanaume wa Tanzania wako hivyo sababu yetu Sisi wanawake, tumeyakubali haya maisha.
Especially Mtu akiwa kioo cha jamii kama Zamaradi, kuna wasichana wadogo wana muadmire nao wataona kumbe it's okay to be disrespected.We need to teach young girls self respect and self worth
Ila simjudge sana Zama maana mwanaume kama anakusaidia financially it's another issue, hata Mimi labda ningejituliza hapo kama mtu ananipa kila kitu ila no need to publicize it, kaa kimya!Maana to publicize means you are telling other women it's okay to LOVE a man who treats you so horribly wakati It's not okay. I mean ni choice yake yeye na tuheshimu maamuzi yake Ila nachosema ni kwamba wanawake ambao ni kioo cha jamii Kama Zama they have a responsibility to empower other women and to preach equality.Wanaume wa Tanzania hawatokaa kubadilika kama sisi wanawake tutaendelea kuwa hivi.Kama kaamua kuishi haya Maisha ni haki yake but being PROUD of it mpaka kuposti insta is STUPID!I mean seriously, mimba zake zote 2 mbili wanawake Wengine wanazaa pia, just few months apart. Mwaka jana kwenye birthday ya bosi wakajikuta wanawake karibia 5 wameweka Post insta za happy birthday my love na za keki mwanaume anafanya kuzunguka nyumba kula besdei keki na wenyewe wanaposti insta .Ilikuwa kituko walichekwa mpaka wakafuta. Nilidhani pale ndo Zama angejifunza to keep this private" Mange

No comments