Header Ads

BAYERN YAICHAPA JUVE BAO 4-2, YASONGA LIGI YA MABINGWA


Bayern Munich imeshinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Juventus na kusonga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 6-4.

Lakini haikuwa mechi ya mchezo, kwani hadi mapumziko walikuwa nyuma kwa mabao 2-0, kipindi cha pili wakasawazisha.
Baada ya hapo, zikaongezwa dakika 30 na wenyeji Bayern wakapata majibu ya haraka kwa kufunga mabao mawili.


No comments