• Latest News

  March 31, 2016

  Binti Ajinyonga huko Longido ...Aacha majina ya watu anaowadai na Kuagiza Walipe Kabla Maiti Yake Haijasafirishwa


  Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge na kuacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote 
  Amesema amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyewe.Katika ujumbe huo, ametaja majina ya watu anaowadai na kuagiza  walipe madeni yake kabla ya mwili wake kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
  Mimi Jesca Reinald Elisante Leo tarehe 29 , 03 , 2016 nimeamua kujinyonga kwa ridhaa yangu mwenyewe hakuna mtu yeyote anayehusika na kifo changu na hizi ni namba ya Mama  yangu,0672740439.

  Ninao wadai
  Mama Diana  33,000/=
  John Memory card 4 GB
  Boss Mshahara 60,000/=

  wanao nidai
  Zai 20,000/=alipwe na ninao wadai wahakikishe wanalipa kabla sijarudishwa kwetu.

  NB:HAKUNA ANAYEHUSIKA NA KIFO CHANGU.
  Ndugu zangu nawapenda sana
  vitu vyangu vyote vipelekwe kwetu
  Jau Kwenye Kuni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Binti Ajinyonga huko Longido ...Aacha majina ya watu anaowadai na Kuagiza Walipe Kabla Maiti Yake Haijasafirishwa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top