• Latest News

  March 20, 2016

  Christopher Ole Sendeka Ateuliwa Kuwa Msemaji Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)

  Chama cha Mapinduzi CCM leo kimemtangaza Christopher Ole Sendeka kuwa msemaji mpya wa CCM kuanzia leo.
  Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar.
  Picha ya chini Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Ndugu Nape Nnauye ambapo kwa sasa Ole sendeka pichani katikati ndiye ameishika nafasi hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Christopher Ole Sendeka Ateuliwa Kuwa Msemaji Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top