Header Ads

Diamond na Zari ndani ya mahaba mazito Sweden, Picha zipo hapa

 Watukufanya utamani kupenda ukapendwa – maake kunakupenda usipendwe na badala yake ikawa tu karaha, mapenzi usiyafurahie tena. Lakini kwa Zari the Bosslady na Diamond Platnumz ni mahaba mazito.

Mapenzi yao (ambayo walau yanadhihirika kwa picha zao za Instagram), yanaweza kuwapa wivu uliochanganyikana na hasira maex wao. Jioneee mwenyewe picha zao wakiwa backstage kabla ya hitmaker huyo wa ‘Make Me Sing’ hajapanda stejini huko Stockholm, Sweden.

No comments