Header Ads

Dina: Nitongoze nikushikishe adabuMsanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Nasra Mohamed ‘Dina’ amefunguka kuwa kama mtu anataka kumtibua akili yake ajitokeze kumtongoza ndipo atakapojua mashetani yake yalipo.
Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Dina alisema: “Kwa kweli kama mtu anataka nimkosee heshima afanye hivyo kwa kuwa nitamkomesha, mapenzi Bongo hamna, usanii mtupu.”

No comments