• Latest News

  March 20, 2016

  Hamad Rashid: Nina Uhakika wa Kuwa Rais wa Zanzibar au Makamu wa Rais

  Mgombea Urais kupitia Chama cha  ADC Mheshimiwa Hamad Rashid ametimiza haki yake ya msingi ya kupiga kura. 

  Akizungumza na Waandishi mara baada ya kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari  Wawi Kisiwani  Pemba,  Rashid amesema  anauhakika wa kuibuka mshindi wa kiti cha Urais wa Zanzibar. 

  Amesema kama hatashinda Urais,  basi atakuwa Makamu wa Rais
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Hamad Rashid: Nina Uhakika wa Kuwa Rais wa Zanzibar au Makamu wa Rais Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top