Header Ads

HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOING'OA NDANDA FC KWA MABAO 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA

MSHAMBULIAJI WA YANGA, DONALD NGOMA AKITHIBITI MPIRA MBELE YA BEKI WA NDANDA FC KATIKA MECHI YA ROBO FAINALI YA KOMBE LA FA. YANGA ILISHINDA KWA MABAO 2-1 KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTINGA NUSU FAINALI WAFUNGAJI WA MABAO YAKE WAKIWA NI PAUL NONGA NA KELVIN YONDANI.

No comments