Header Ads

Instagram yaongeza urefu wa kupost video kutoka sekunde 15 hadi 60


Najua nina watu wangu ambao ni watumiaji wazuri sana wa mitandao ukiwemo mtandao wa instagram ambao umekuwa ukitumiwa na  watu mbalimbali kama mtandao wa kupost picha au video ya kitu fulani.

Sasa good news niliyoipata muda huu ni kwamba moja kati ya kitu kilichoboreshwa kwenye mtandao huo ni kwenye upande wa video ambapo kwa mara ya kwanza mtumiaji alikuwa akipost video yenye sekunde 15 lakini leo maboresho yaliyofanywa makubwa ni kwamba mtumiaji wa mtandao huo atakuwa anaweza kupost video yenye dakika moja tu badala ya sekunde 15.

Hapa nimekusogezea video yenye dakika moja ya staa Diamond Platnumz kupitia mtandao huo wa instagram

From 15 seconds to 1minute!!!..Mwe! Asante Insta kwa kutuongezea urefu wa hizi clip tujinafasi!😃

A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

No comments