Header Ads

Magufuli na Mkewe wapiga simu ‘Live’ Clouds TV kama watazamaji wa kawaida

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo asubuhi wamepiga simu moja kwa moja katika kipindi cha #Clouds360 na kuwapongeza Watangazaji hao kwa kazi nzuri wanayoifanya. Mh Rais alisema kuwa yeye ni shabiki namba moja wa kipindi hicho na anafurahishwa na kazi nzuri inayofanywa na #CloudsMediaGroup kama zoezi zima la #MalkiaWaNguvu na mengine mengi. Wakimalizia kuonge na watangazaji wa #Clouds360 waliwataka nao wakati mwingine waje na wenzi wao katika kipindi sio kila mara waje wenyewe 😂. Tunamshukuru Mh. Rais kwa kitendo chake hichi, hili linaonyesha kuwa tunaifanya kazi vizuri lakini pia ni faraja kwetu kwani tunaamini sisi ndio kituo cha kwanza Mh. Rais kufanya kitendo hiki. Mungu Ibariki Tanzania.
#Repost @cloudstv with @repostapp ・・・ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo asubuhi wamepiga simu moja kwa moja katika kipindi cha #Clouds360 na kuwapongeza Watangazaji hao kwa kazi nzuri wanayoifanya. Mh Rais alisema kuwa yeye ni shabiki namba moja wa kipindi hicho na anafurahishwa na kazi nzuri inayofanywa na #CloudsMediaGroup kama zoezi zima la #MalkiaWaNguvu na mengine mengi. Wakimalizia kuonge na watangazaji wa #Clouds360 waliwataka nao wakati mwingine waje na wenzi wao katika kipindi sio kila mara waje wenyewe 😂. Tunamshukuru Mh. Rais kwa kitendo chake hichi, hili linaonyesha kuwa tunaifanya kazi vizuri lakini pia ni faraja kwetu kwani tunaamini sisi ndio kituo cha kwanza Mh. Rais kufanya kitendo hiki. Mungu Ibariki Tanzania.
A photo posted by Clouds Fm (@cloudsfmtz) on

No comments