• Latest News

  March 25, 2016

  Malaika: Kuolewa sasa no! Bado niponipo kwanza

  Diana Exavery ‘Malaika’.

  STAA wa Ngoma ya Zogo, Diana Exavery ‘Malaika’ kwa mara ya kwanza amefungukia ishu yake ya kuolewa ambapo amesema kwa sasa hayupo tayari na kwamba bado yupoyupo kwanza.
  Malaika mwenye shepu f’lan ‘amaizing’, aliitonya kona hii kuwa japokuwa anaishi na mchumba wake lakini hilo halimfanyi kufikiria kuolewa akiamini muda wa kuitwa mke rasmi bado.
  “Mimi si wa kuolewa sasa bwana! Hapana siwezi kusema nipo tayari, bado niponipo kwanza. Siku ikifika nitawaambia lakini si sasa, nahisi bado muda…si unajua mambo mazuri hayataki haraka?” alisema Malaika
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Malaika: Kuolewa sasa no! Bado niponipo kwanza Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top