Header Ads

Picha na Video za WEMA SEPETU akiwa katika Instagram Party Mwanza

Usiku wa tarehe 27, ulipambwa na Show ya Instagram Party kwa upande wa Mwanza 88.1, mastaa kadhaa wa Tanzania walikuwepo kunogesha Party kutoka Bongo movie Wema Sepetu, alikuwepo na kundi la Weusi liliwakilishwa na Joh Makini pamoja G nako.Party imefanyika Rock City Shopping mall Mwanza.


A video posted by DonMiss InstagramParty Mwanza (@wemadaily) on

A video posted by DonMiss InstagramParty Mwanza (@wemadaily) on

No comments