Header Ads

Picha: Ndinga mpya ya Shilole ipo hapa

Siku zote wataalamu wa mambo wanasema kuwa msanii mkali ni lazima awe na gari kali, sasa time hii msanii mwenye hit single iitwayo Nyang’anyang’a shilole leo March 20, 2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliweza kushea nasi video ikionesha gari lake jipya aina ya Harrier na kusema bye bye Mark X.
A video posted by Shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno) on

A video posted by Shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno) on

No comments