• Latest News

  March 25, 2016

  Pichaz 12 za mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar wakitokea Chad Alfajiri ya leo

  Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage ukitokea Chad kwa kupitia Ethiopia. Taifa Stars waliwasili Dar Es Salaam na kupokelewa na mapokezi mazuri kutoka kwa kikundi cha ushangiliaji cha Taifa Stars Suporter pamoja na watu mbalimbali.
  Taifa Stars itacheza mchezo wake wa pili wa marudiano na Chad Jumatatu ya March 28 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, baada ya mchezo wa kwanza kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 uliyochezwa jumatano hii Chad katika uwanja wa Idriss Mahamat.
  DSC_9318
  Kikundi cha ushangiliaji kilichojitokeza kuipokea Taifa Stars
  DSC_9333
  Burudani ya ngoma ilikuwa ikiendelea wakati ambao Taifa Stars inasubiriwa
  DSC_9351
  Mbwana Samatta akisindikizwa na mashabiki kwenye basi la timu.
  DSC_9359
  Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa alivyosindikizwa kwenye basi na mashabiki
  DSC_9355
  Mbwana Samatta ndio alikuwa mchezaji wa mwisho kuingia kwenye basi
  DSC_9360
  IMG_0019
  Stars Suporter wakijipanga kuisubiri Taifa Stars
  IMG_0024
  Erasto Nyoni
  IMG_0033
  Samatta akisalimiana na kiongozi wa Stars Suporter
  IMG_0054
  Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa akiongea na waandishi wa habari

  PICHA NA MILLARDAYO.COM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Pichaz 12 za mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar wakitokea Chad Alfajiri ya leo Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top