Header Ads

SPICES AFRICA TUPIKE PAMOJA


Tunathamini  umuhimu wa viungo katika chakula sio kwa kuleta ladha na muonekano mzuri tu bali muhimu virutubisho vinavyopatikana katika viungo hivyo.

Kwa kutambua usumbufu anaopata mpishi katika kutayarisha viungo hivi tumaemua kumpunguzia kazi za jikoni na usumbufu huo kwa kumletea viungo vya chakula vilivyotayarishwa tayari  ili kupika chakula kitamu chenye ladha iliyokusudiwa na kwa muda mfupi.

Vitunguu swaumu vilivyomenywa/kusagwa tayari( Peeled/Minced Garlic)
1kg  Tsh 14,000
1/2 Kg  Tsh  7,000
1/4 Kg  Tsh 4000

Tangawizi iliyomenywa na Kusagwa ( GInger Paste)
1Kg  Tsh  5000
1/2 kg  Tsh  3000
1/4 kg  Tsh  1500
Tunakuleta popote , Wasiliana nasi kwa namba +255 (0) 762 420 578,0763264442. Email.info.spicesafrica@gmail.com

No comments