• Latest News

  March 31, 2016

  Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge watatu wanaotuhumiwa kwa rushwa

  Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa Lupa Mh. Victor Mwambalaswa.
  Wakijadiliana jambo
  Dar es Salaam
  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), leo imewaburuza kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar, wabunge wa 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotuhumiwa kwa rushwa.
  Wabunge hao ni Mbunge wa jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa Mh.Victor Mwambalaswa.
  Taarifa zaidi za tukio hilo zitawajia kadri tutakavyozipata.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge watatu wanaotuhumiwa kwa rushwa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top