• Latest News

  March 22, 2016

  Tuhuma za Rushwa: Hussein Bashe Naye Ajiuzulu Ujumbe wa Kamati ya Bunge


  Mbunge wa Nzega Mjini na Kiongozi wa chama cha CCM, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.

  Kutokana na shtuma hizo ameamua kuungana  na  Zitto Kabwe  kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.

  Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Tuhuma za Rushwa: Hussein Bashe Naye Ajiuzulu Ujumbe wa Kamati ya Bunge Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top