Header Ads

Video MPYA: Mtangazaji Sam - Ballin And Chillin


Mtangazaji wa Radio/TV Sam Misago ameendelea kuachia single zake mpya ikiwa hii ni single yake ya pili toka Watanzania wameanza kumuona kwenye maamuzi yake mapya ya kufanya muziki wa bongofleva anaoufanya kwa ku-rap, ukishaitazama hii video yake mpya hata unaweza kuacha na comment akipita ajue Watanzania wameupokeaje muziki wake.

No comments