Header Ads

VIDEO: Nicki Minaj amchenjia mlinzi wake baada ya kuona anachezea simu badala ya kumlinda Dubai


Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba Mlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi, wakati Nicki yuko kwenye stage anaimba, akagundua kwamba upande wake wa kulia mmoja wa Walinzi wake hafanyi kazi inavyotakiwa maana kashika simu yake ya mkononi.

Nicki alichofanya ni kwenda kumnyang’anya ile simu alafu akaitupa nyuma ya stage kwenye upande ambao watu wake wengine walikuwepo na haikujulikana kama Nicki Minaj aliongea chochote baada ya show kumalizika ila media zimeripoti kukasirika kwake na kushindwa kujizuia kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.

Kitendo cha Nicki kutupa hiyo simu kimepokelewa tofauti, kuna wengine wamesema ni sawa sababu amemlipa yule jamaa kwa ajili ya kumlinda na sio kushika simu wakati wa kazi, wengine wamesema Nicki ameonyesha ni kiasi gani hana adabu kwa sababu angeweza kuvumilia hiyo ikapita.
🇺🇸- "Nicki Minaj had asked us (Production Nicki Minaj) to draw the attention of security 3 times since the last show, the great hesitation it was to continue in error and in front of more detailed boss we ever had. Nicki Minaj was being Nicki Minaj. Sorry for the inconvenience and thanks for hearing, it was an amazing show" Production Nicki Minaj clarifies the morning after the show. 🇧🇷- "Nicki Minaj já tinha pedido a nós (Produção de Nicki Minaj) para chamar a atenção do segurança 3 vezes desde o show passado, o grande vacilo dele foi continuar no erro e na frente da patroa mais detalhista que já tivemos. Nicki Minaj estava sendo Nicki Minaj. Desculpem o transtorno e obrigado pela audiência, foi um Show incrível" Produção de Nicki Minaj esclarece na manhã após o show. ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ #NickiMinaj { @nickiminaj } #Barbz #ThePinkPrintTour #NickiMinajBrasil #Brasil #TeamMinaj #QueenOfRap #Onik4 #Omeeka #ThePinkPrint #MeekMill #TeamNicki #YoungMoney #Supastar #YMCMB4Life #Pinkprint #CashMoneyRichGang #Dubai ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ 🇺🇸- Tag your friends ! 🇧🇷- Marque seus amigos !
A video posted by NICKI MINAJ 🇧🇷 / 🇺🇸 (@nickiminajbrazil) on

No comments