Header Ads

WAKATI MWINGINE MASHABIKI NI WAKATILI SANA, ANGALIA HII YA VAN GAAL NA MOURINHO


Si unajua Jose Mourinho ni mwanafunzi wa Louis van Gaal? Sasa mashabiki hawamtaki mwalimu wanamtaka mwanafunzi.


Hawa ni mashabiki wa Manchester United. Pamoja na kujua kocha huyo ana mechi ngumu leo dhidi ya Manchester City, lakini wao hawajali wala wahamsapoti, badala yake wanataka aondoke. Mashabiki bana, wakati mwingine hawako fair!

No comments