• Latest News

  March 29, 2016

  Wananchi Wa Chato Wajitokeza Kwa Wingi Kumlaki Rais Dkt John Pombe Magufuli

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo.

  Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa Geita,wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambaye amewasili leo mjini humo alikozaliwa.Rais Dkt Magufuli amewasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu awe Rais.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wananchi Wa Chato Wajitokeza Kwa Wingi Kumlaki Rais Dkt John Pombe Magufuli Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top