Header Ads

Wasanii wa Bongo Fleva watoa burudani Club Bilz usiku wa kuamkia leo

Ni usiku wa  March 20, 2016 ambapo  wakali kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva waliungana kwa pamoja kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki waliohudhuria katika ukumbi wa Club Bilz.miongoni mwa wasanii walionogesha stage akiwemo Roma Mkatoliki, Abdul Kiba, Mo Music, Ali Kiba, Dayna Nyange na wengineo. Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo
.
.Msanii Mo Music akitoa burudani ya nguvu
.
.
.
.
.
.Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki ni miongoni waliotoa burudani ya nguvu usiku wa March 20, 2016
.
.Miongoni mwa wasanii waliohudhuria show hiyo alikuwa ni Ali Kiba ambaye alipanda jukwaani na kumpa support mdogo wake Abdul Kiba
.
.Mashabiki wakipata burudani ya nguvu kutoka kwa Abdul Kiba
.
.Pichani:Abdul Kiba akiimba jukwaani wimbo wa Ayayaa aliyoshirikisha Ruby ambapo Gigi Money alipanda jukwaani na kuimba badala ya Ruby ili mashabiki waienjoy burudani kali
.
.Abdul Kiba
AW1A8787
.
.
.
.Roma Mkatoliki akiwa na watu wa nguvu
.
.
.
.
.
.Dayna Nyange akiwa na mtu wa nguvu
.
.Belle 9 ni miongoni waliohudhuria show hiyo iliyofanyika usiku wa March 20, 2016 katika ukumbi wa Club Bilz

PICHA NA MILLARDAYO.COM

No comments