• Latest News

  March 22, 2016

  Zitto Kabwe Atangaza Kujiuzulu Ujumbe Kamati ya Huduma Za Jamii Baada ya Wajumbe wake Kutuhumiwa Kwa Rushwa


  Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.

  Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.

  Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Zitto Kabwe Atangaza Kujiuzulu Ujumbe Kamati ya Huduma Za Jamii Baada ya Wajumbe wake Kutuhumiwa Kwa Rushwa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top