• Latest News

  April 22, 2016

  Amanda asubiri ndoa amuanike hubby wake   Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’
  Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameibuka na kusema kuwa amejifunza kuwa msiri kwenye uhusiano wa kimapenzi na sasa atamuanika mpenzi wake atakapokaribia kufunga ndoa.

  Akipiga stori Amanda alisema kuwa, siku hizi amekuwa hapendi kuweka wazi kajiweka kwa mwanaume gani kutokana na historia ya maisha yake ilivyoathirika kwa kujianika.

  “Yaani mtu akiniuliza  kuhusiana na mahusiano yangu anakuwa ananichokoza kwa sababu sipo tayari kuyaanika tena na sitakaa nikaongelea tena kuhusu maisha yangu ya kimapenzi yaliyopita wala ya sasa. Kumuanika hubby wangu ni mpaka ndoa,” alisema Amanda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Amanda asubiri ndoa amuanike hubby wake Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top