Header Ads

BARCELONA YACHAPWA 2-0 NA ATLETICO LIGI YA MABINGWA ULAYA

Antoine Griezmann amepiga mabao mawili na kuiwezesha Atletico Madrid kufanya mawili makubwa kabisa usiku huu.

Atletico Madrid imefanikiwa kuvuka na kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, pili timu hiyo imeivua ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Barcelona. 

Katika mechi ya kwanza ikiwa nyumbani, Barcelona ilishinda kwa mabao 2-1. Hivyo kwa ushindi wa leo wa Atletico ikiwa nyumbani, maana yake imeing'oa Barcelona kwa jumla ya mabao 3-2. Cheki pichaaaz.


No comments