• Latest News

  April 14, 2016

  BAYERN YASONGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA KWA SARE DHIDI YA BENFICA


  Bayern Munich imeambulia sare ya mabao 2-2 dhidi ya Benfica na kufanikiwa kusonga hadi nusu fainali kwa jumla ya mabao 3-2.

  Katika mechi ya kwanza ikiwa nyumbani, Bayern ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ambalo limewabeba kufuzu leo kwa kuwa mechi ilikuwa ngumu kwao huku Wareno hao wakiwa vizuri zaidi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BAYERN YASONGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA KWA SARE DHIDI YA BENFICA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top