• Latest News

  April 23, 2016

  Ben Pol amuanika mtoto wake!

  Ben Pol amezungumza na U Heard ya Clouds FM na kudai kuwa hajapenda kumweka mwanae kwenye Instagram kama wengi walivyotarajia kwasababu anataka kumwacha aje aamue mwenyewe akiwa mkubwa.
  Amesema hana uhakika kama mtoto wake akija kuwa mkubwa iwapo atapenda kuona wazazi wake wamwemwanika sana kwenye mitandao ya kijamii.
  Amelitaja jina la mtoto wake huyo wa kiume kuwa ni Mali Benard. Mali ana umri wa mwezi mmoja sasa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ben Pol amuanika mtoto wake! Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top