• Latest News

  April 09, 2016

  Breaking News: Ndanda Kosovo Afariki Dunia  Mwanamuziki wa dansi nchini Ndanda Kosovo afariki dunia Hosptali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa Matibabu.
  Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwanamuziki mwenzake Kardinal Gento,Ndanda alikuwa alisumbuliwa na matatizo ya vidonda vya tumbo maradhi yaliyopelekea kulazwa katika hospitali ya Mwananyamala na baadaye alihamishiwa katika Hosptali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya Matibabu.
  Hadi mauti yanamkuta Ndada alikuwa akifanya shughuli za muziki kama msanii wa kujitegemea ‘Solo Artist’ pamoja na shughuli za kibiashara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Breaking News: Ndanda Kosovo Afariki Dunia Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top