• Latest News

  April 21, 2016

  Diamond, mrembo Irene ‘Lynn’ kuna siri nzito!  Kuna siri nzito kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Irene ‘Lynn’ ambapo watu wa karibu wanasema ‘wanatoka’.

  Kwa mujibu wa watu hao, Irene amekuwa akishinda kwenye Studio ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond, iliyopo Sinza Mori jijini Dar huku wafanyakazi wote wa studio hiyo wakijua wawili hao wameshibana.  “Jamani nataka kuwapa umbeya. Huu umbeya wengi hawaujui. Kuna mrembo mmoja anaitwa Irene, ndiye mtu wa Diamond kwa sasa. Diamond anampenda sana Irene. Ukienda pale studio utamkuta, muda mwingi anashinda pale.
  “Lakini Diamond anasema ni ndugu yake. Sasa we jiulize, Nasibu na Irene  wapi kwa wapi? Huo undugu mbona hauweki wazi kwamba ni mtoto wa nani?
  “Huyu Irene yupo Dar miaka yote, kama kweli ni ndugu yake mbona hajawahi kuonekana kwenye shughuli za Diamond kama wanavyoonekana Queen Darlin na Esma (dada wa Diamond)?” kilisema chanzo hicho...
  Kikaendelea: Lakini huwezi amini,Irene ni kipenzi sana cha mama
  Diamond na Esma. Jaribuni kuchunguzapana siri nzito hapo.”  AMANI STUDIO YA DIAMOND
  Baada ya taarifa hizo, hivi karibuniAmani lilitua kwenye studio za nyotahuyo na kumuulizia Ireneambapolilijibiwa hajafika mpaka muda huo.
  Baadhi ya wafanyakazi wa studiohiyo walisema kuwa, Irene ni msaniianayetaka kutoka kimuziki ndiyo
  maanaanapatikana sana mahali hapo na yukochini ya Lebo ya Wasafi Clasic Baby
  ‘WCB’.
  Walipoulizwa kama ni nduguwa Diamond, baadhi yao waliachiatabasamu, wengine waliangaliaukutanibila kusema kweli au sikweli.Hata hivyo, Amani lilifanikiwakukutana na Diamond mwenyewe
  na kumuuliza kuhusu madai ya yeyena Irene kuwa na zaidi ya ukaribu.
  “Hapana bwana, mbona ni ndugu
  yangu, ni mdogo ‘angu.”
  Amani: “Ni mdogo ‘ako mtoto wa
  nani?”
  Diamond: “We tambua tukwamba ni mdogo ‘angu mbona jiburahisi sana.”

  AMANI NYUMBANI TANDALE
  Baada ya kuzungumza naDiamond, Amani lilifunga safarihadi nyumbani kwa akina Diamond,Tandale, Dar na kubahatika
  kukutana na mama Diamond, SanuraKasim ‘Sandra’ na Esma.Baada ya salamu, mama Diamond alipigwa swali kama anamfahamu mrembo Irene, sikia majibu yake:“Namfahamu ndiyo. Nimwanangu mdogo wake Esma,
  alikuwa anasoma nje kwa baba ‘ake.Sasa hivi karudi, yupo tu.”
  Amani: “Ina maana wote
  weupeweupe tu, maana Esmamweupe kama Mwarabu na Irene
  pia.”
  Mama: (huku akicheka) “si
  umeona ee?”Diamond kwa sasa anaishina msanii wa kizazi kipya raia wa
  Uganda lakini ana makazi nchinAfrika Kusini ‘Sauz’, Zarinah Hassan
  ‘Zari’ ambapo wamepata mtoto
  mmoja, Latiffah ‘Tiffah’.
  Habari: Musa Mateja na
  Imelda Mtema, AM

  CHANZO: GPL
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Diamond, mrembo Irene ‘Lynn’ kuna siri nzito! Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top