• Latest News

  April 01, 2016

  DIAMOND PLATNUMZ AKUTANA NA AWILO LONGOMBA HUKO PARIS   Hakuna shaka kuwa ngoma ya Awilo Longomba na Diamond Platnumz soon itasikika kwenye spika zako.

  Diamond, Zari, Awilo Longomba na Zari wakiwa Paris, Ufaransa
  Wawili hao wamekutana Paris, Ufaransa na Awilo hakuchelewa kuonesha furaha yake kukutana na familia ya Chibu, yaani Zari na mtoto wao Tiffah. Kuna kila dalili kuwa kutano lao lilikuwa ni la mazungumzo ya collabo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DIAMOND PLATNUMZ AKUTANA NA AWILO LONGOMBA HUKO PARIS Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top