• Latest News

  April 27, 2016

  HAYA NDIYO YALIYOMKUTA ZIDANE, SURUALI YAKE KUCHANIKA MADRID IKIIVAA MAN CITY
  Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekutana na 'majanga' akiwa kazini baada ya surali yale kuchanika kw akiwango kikubwa hadi kusababisha nguo yake ya ndani kuonekana.


  Nguo hiyo ilichanika wakati Zidane akiwa katika benchi akijaribu kuwaelekeza vijana wake. Ile rusha mguu, rusha mkono mara suruali ndiyo hivyo tena.

  Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeisha kwa sare ya bila bao huku Madrid waliokuwa ugenini Etihad wakitawala zaidi mchezo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HAYA NDIYO YALIYOMKUTA ZIDANE, SURUALI YAKE KUCHANIKA MADRID IKIIVAA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top