Header Ads

HIVI NDIVYO MBWA ALIVYOMLA SIMBA LEO UWANJA WA TAIFA NA KUMNG'OA KOMBE LA SHIRIKISHO


Naamini unajua nembo kuu ya klabu ya Coastal Union ni mbwa, ndiyo hao waliomuangusha myama, Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa kumchapa mabao 2-1, leo.

Ilikuwa mechi ya Kombe la Shirikisho, Simba ikalala kwa Coastal Union ambayo ni dhoof lhali katika Ligi Kuu Bara.

Lakini ikaonyesha makali kwa kuichapa Simba kwa mabao 2-1 na kusonga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho.
No comments