• Latest News

  April 02, 2016

  Ligi Kuu ya Uingereza kurejea leo Jumamosi, Chelsea, Man City na Liverpool Uwanjani leo  Ligi Kuu ya Uingereza itarejelea leo Jumamosi baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi nane.
  Aston Villa watatanguliza kwa kuwakaribisha Chelsea kwao nyumbani, huku Tottenham wakifunga siku kwa mechi ugenini Liverpool.
  Ratiba ya mechi:
  Jumamosi 2 Aprili (Saa za Afrika Mashariki).
  • Aston Villa v Chelsea 14:45
  • Arsenal v Watford 17:00
  • Bournemouth v Man City 17:00
  • Norwich v Newcastle 17:00
  • Stoke v Swansea 17:00
  • Sunderland v West Brom 17:00
  • West Ham v Crystal Palace 17:00
  • Liverpool v Tottenham 19:30

  • Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL
  Jumapili 3 Aprili
  • Leicester v Southampton 15:30
  • Man Utd v Everton 18:00
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ligi Kuu ya Uingereza kurejea leo Jumamosi, Chelsea, Man City na Liverpool Uwanjani leo Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top