• Latest News

  April 02, 2016

  LIVERPOOL IKIWA NYUMBANI YAPATA SARE YA 1-1 DHIDI YA TOTTENHAM


  Coutinho alitangulia kuifungia Liverpool iliyokuwa nyumbani Anfield, lakini Harry Kane akasawazisha na timu hizo kutoka sare ya bao 1-1.

  Spurs ambayo ilipania kushinda lakini pointi moja inaifanya ifikishe pointi 61 ikiendelea kubaki katika nafasi ya pili.

  Hata hivyo, kuanzia kocha na wachezaji wa Spurs walionekana kutofurahia sare hiyo, kwani sasa kama watapoteza mchezo mmoja na Arsenal kushinda, basi watakuwa wamejiweka katika hofu ya kung’olewa katika nafasi hiyo ya pili, jambo ambalo wasingependa liwatokee.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: LIVERPOOL IKIWA NYUMBANI YAPATA SARE YA 1-1 DHIDI YA TOTTENHAM Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top