Header Ads

Lulu Diva: Wasanii wanapenda kutongoza Video Queen (Video ipo hapa)

Muuza nyago katika Video za Kibongo, Lulu Abbasi ‘Lulu La Diva’.
Msanii wa kike ambaye pia ni muuza nyago katika Video za Kibongo, Lulu Abbasi ‘Lulu La Diva’ amefunguka kuwa yuko tayari kuolewa na msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’. Akizungumza na Global TV Online hivi karibuni, Lulu alisema yuko tayari kufanya mambo mengi sana na Wizkid hata kama ni kumuoa.

“Niko tayari kufanya naye kazi na nitafanya naye ikitokea hivyo na nitafanya naye vitu vingi sana hata kama akitaka kunioa niko tayari,” alisema Lulu La DIVA. Lulu La Diva ameuza nyago katika video ya Wimbo wa Naogopa wa Mirror na Baraka Da Prince.
 

No comments