• Latest News

  April 03, 2016

  MALDINI AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 84

  MAREHEMU MALDINI (KULIA) WAKATI WA UHAI WAKE AKIWA NA MWANAYE, PAOLO MALDINI
  Beki wa zamani wa AC Milan na kocha wa timu ya taiga ya Italia, Cesare Maldini amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.

  Maldini ambaye ni baba wa beki wa zamani wa AC Milan, Paolo Maldini alianza kuitumikia timu hiyo kuanzia mwaka 1954 hadi 1966.  Beki wa zamani wa AC Milan na kocha wa timu ya taiga ya Italia, Cesare Maldini amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.


  Maldini ambaye ni baba wa beki wa zamani wa AC Milan, Paolo Maldini alianza kuitumikia timu hiyo kuanzia mwaka 1954 hadj 1966.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MALDINI AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 84 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top