• Latest News

  April 28, 2016

  Mke wa Messi amblock Instagram Miss huyu shabiki wa mumewe


  Suzy Cortez akiwa katika mapozi mbalimbali na jezi ya Messi.
   

  Hivi karibuni mke wa Lionel Messi, Antonella Roccuzzo alimblock Suzy Cortez ambaye ni Miss Bumbum nchini Brazil mwaka 2015.

  Suzy Cortez ameonekana kuwa ni shabiki mkubwa wa mchezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi kutokana na kuonekana kuvaa jezi za timu hiyo yenye namba na jina la mchezaji huyo.
  Akiongea na gazeti la The Sun baada ya mke wa Messi kumblock, Suzy alisema, “ “I was completely shocked when I spotted it. If I could, I would tell her not to be worried about me, I’m just a fan.”
  Suzy aliendelea kusema, “I’m surprised that she isn’t more sure of herself. I only follow about 10 people and he was one of them. So when I saw that I was blocked I thought it could only be jealousy.”
  “Why would he block me if he has 40 million followers? Then I checked her profile and confirmed she had also blocked me,” aliongezea Suzy.
  Hizi ni baadhi ya picha za Suzy Cortez akiwa amevaa jezi ya Messi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mke wa Messi amblock Instagram Miss huyu shabiki wa mumewe Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top