• Latest News

  April 16, 2016

  MMILIKI WA LEICESTER CITY ATUA MAZOEZINI NA HELKOPTA KUWASHUKUDIA VIJANA WAKE


  Huku Leicester ikiwa inaenda ukingoni mea Ligi Kuu ikiwa na matumaini makubwa ya kubeba ubingwa, Mwenyekiti na mmiliki wake Aiyawatt Srivaddhanaprabha ametua katika mazoezi ya timu hiyo akitumia usafiri wa helkopta.

  Mwenyekiti huyo raia wa Thailand alifika mazoezi na kushuhudia vijana wake wanavyojifua kabla ya kufanya mazungumzo mafupi na Kocha Claudio Ranieri.


  Leicester ndiyo yenye nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa England na imebakiza mechi tano tu na kama watashinda mbili, basi inaonekana itakuwa vigumu kuwazuia tena kuwa mabingwa.
  Leicester wako kileleni wakiwa na pointi 72, wanafuatiwa na Tottenham yenye pointi 65 hakafu Arsenal katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 59.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MMILIKI WA LEICESTER CITY ATUA MAZOEZINI NA HELKOPTA KUWASHUKUDIA VIJANA WAKE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top