Header Ads

Mvua zasababisha madimbwi Barabara ya Kijitonyama - MabatiniMVUA zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengine zimesababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara hususan barabara inayopita katika Kituo cha Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’.
Kamera yetu imenasa picha zinazoonesha sehemu korofi hasa iliyoharibika na kuchimbika vibaya kama inavyoonekana pichani:


No comments