• Latest News

  April 19, 2016

  Picha 6 za Muonekano wa Daraja la Kisasa la Kigamboni Litakalozinduliwa Leo na Rais Magufuli

  Daraja la kisasa la Kigamboni linalounganisha eneo la Kigambonina upande wa Kurasini likikatisha bahari ya Hindi. Rais Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kulizindua rasmi daraja hilo  leo Jumanne Aprili 19, 2016.
  Akina mama na watoto wao wakilishangaa daraja hilo la kisasa
  Barabara inayoelekea kwenye daraja hilo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Picha 6 za Muonekano wa Daraja la Kisasa la Kigamboni Litakalozinduliwa Leo na Rais Magufuli Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top