Header Ads

Muonekano wa Daraja la Kisasa la Kigamboni, Dar
 Barabara inayoelekea kwenye daraja hilo
Daraja la kisasa la Kigamboni linalounganisha eneo la Kigambonina upande wa Kurasini likikatisha bahari ya Hindi. Rais Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea muda huu kuzindua rasmi daraja hilo  leo Jumanne Aprili 19, 2016.

No comments