• Latest News

  April 19, 2016

  Rais Magufuli Kumwapisha Balozi Mteule Mheshimiwa Mathias Chikawe Leo asubuhi


  Itakumbukwa kuwa leo ( jana ) asubuhi tarehe 18 Aprili, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Mheshimiwa Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan.

  Tunapenda kuwataarifu kuwa Balozi Mteule Mathias Meinrad Chikawe ataapishwa kesho (Leo) tarehe 19 Aprili, 2016 saa 3:00 Asubuhi, Ikulu Jijini Dar es salaam.

  Gerson Msigwa
  Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
  Dar es salaam

  18 Aprili, 2016
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais Magufuli Kumwapisha Balozi Mteule Mheshimiwa Mathias Chikawe Leo asubuhi Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top