• Latest News

  April 10, 2016

  VARDY HAKAMATIKI ENGLAND, APIGA MBILI LEICESTER IKIIMALIZA SUNDERLAND 2-0


  Leicester imeitungua Sunderland kwa mabao 2-0, yote mawili yakiwa yamefungwa na mshambuliaji wake hatari Jamie Vardy.

  Vardy amefikisha mabao 21 akiwa anakimbilia ufungaji bora, huku Leicester iliyobakiza mechi tano tu za Ligi Kuu England ikiwa imeanza kusikia harufu ya ubingwa.

  Ushindi huo unaifanya ifikishe pointi 72, nafasi ya pili Tottenham wakiwa na pointi 62 na Arsenal katika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 59.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: VARDY HAKAMATIKI ENGLAND, APIGA MBILI LEICESTER IKIIMALIZA SUNDERLAND 2-0 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top