Header Ads

Video Mpya: Rihanna - Kiss It Better (Explicit)


Ipokee na hii ‘kiss it better‘ video mpya ya Rihanna ambaye February 20 2016 alitimiza umri wa miaka 28, single yake ambayo imelia sana masikioni na imepita sana kwenye TV zetu ni work ft. Drake aliyoiachia February 22 2016 na imeshika namba 1 wiki hii kwenye chati kubwa ya Billboard.

No comments