• Latest News

  April 13, 2016

  Yanga yaichapa Mwadui bao 2-1

  Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia.
  TIMU ya Yanga leo imeshinda bao 2 -1 dhidi ya Mwadui katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Wafungaji kwa upande wa Yanga ni Msuva 3′ na  Niyonzima 87  na Mwadui ni Sabati 14. Yanga wamefikisha pointi 56 leo wakiwa nyuma ya Simba anayeongoza Ligi Kuu kwa Pointi 57.
  Matokeo mengine ni  Mtibwa Sugar 0 – 1 Azam FC  mfungaji wa timu ya Azam ni John Bocco dakika ya 62 Uwanja wa Manungu, Morogoro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Yanga yaichapa Mwadui bao 2-1 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top