Header Ads

ANGALIA RASHFORD ALIVYOINGIA MKATABA MPYA NA MAN UNITED


Manchester United imeingia mkataba mpya wa miaka minne na kinda Marcus Rashford.

Mkataba huo, Rashford atakuwa akipokea pauni 25,000 kwa wiki kabla ya bonas.

Kinda huyo mwenye umri wa miaka 18 amekuwa gumzo katokana na uwezo wake mkubwa wa kufunga.

Pamoja naye, kinda mwingine Cameron Borthwick-Jackson naye ameingia mkataba wa mpya hadi mwaka 2020.

No comments