• Latest News

  May 01, 2016

  BARCELONA NAYO YAONGEZA POINTI TATU, YAICHAPA 2-0 REAL BETIS
  La Liga inazidi kuwa ngumu baada ya Barcelona kuitwanga Real Sociedad kwa mabao 2-0.

  Mabao mawili ya Barcelona yamefungwa na Ivan Raktic na mkali wa kutikisa nyavu, Luis Suarez ambaye alipokea pasi murua ya Lionel Messi.


  Licha ya ushindi wa Real Madrid na Atletico Madrid, Barcelona inaendelea kukaa kileleni baada ya kushinda bao hizo mbili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BARCELONA NAYO YAONGEZA POINTI TATU, YAICHAPA 2-0 REAL BETIS Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top